Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tupo tayari kwa mchezo wa Nusu Fainali

25 Aug 2024

Violeth amesema wachezaji wapo kwenye hali nzuri na wanafahamu utakuwa mchezo mgumu lakini wapo tayari kuipigania timu na kutinga fainali.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Violeth amezungumzia kuhusu Kinachoendelea vichwani mwao kuelekea michuano hii.

Advertisement
Back to homepage
Share this story