Kapombe amesema katika mchezo wa jana wapinzani wetu Al Ahli Tripoli walipata nguvu kubwa kutoka kwa mashabiki wao kitu ambacho tukikifanya Jumapili tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Shomari kamzungunzia pia mchezo ulivyokuwa na nini kifanyike ili tuweze kuvuka hatua inayofuata.