Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tunaitaka heshima ya Afrika

17 May 2025

Ahmed amesema Simba imefanya mambo makubwa Afrika kama kuzifunga timu vigogo lakini bado hatujawahi kushinda taji na baada ya kupita miaka 32 tumepata nafasi ya kuhakikisha tunashinda.

Tazama mahojiano hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia maandalizi ya mchezo na hali ya wachezaji kuelekea mtanange huo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story