Afisa kutoka kitengo cha habari na mawasiliano wa klabu, Ally Shatry ‘Chico’ amewaomba mashabiki waliopo Dodoma kujitokeza kwa wingi Jumamosi katika bonanza hilo kwakuwa mara zote Simba na Yanga wanapokutana hakuna mechi ndogo.
Tazama video hii hadi mwisho ili kujua utaratibu mzima wa bonanza utakavyokuwa.