Hii ni kawaida yetu kuelekea kwenye mechi zetu kubwa ambazo tunahitaji kupata baraka za Mwenyezi Mungu ili kufikia malengo tuliyojiwekea kurejesha kwa jamii.
Tazama video hii hadi mwisho Kiongozi wa Kituo, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu pamoja na Mwakilishi kutoka Mo Dewji Foundation wamefunguka mambo mengi.