Huu ni utaratibu tuliyojiwekea wa kurejesha kwa jamii kila tunapokuwa tunacheza mechi kubwa lengo likiwa ni kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu na kumuomba msaada ili kutuwezesha kufikia malengo tuliyojiwekea.
Tazama video hii hadi mwisho Mjumbe wa Bodi Selemani Haroub, Meneja Habari na Mawasiliano Ahmed Ally, Mwakilishi kutoka Mo Dewji Foundation pamoja na Viongozi kutoka Kituo cha Mazizini wamezungumza kuhusu msaada huo.