Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tumetoa Msaada Kituo cha Mama Huruma Madale

26 Sep 2025

Huu ni utaratibu tuliyojiwekea wa kurejesha kwa jamii kila tunapoelekea kwenye mechi kubwa au za Kimataifa kama ya Jumapili dhidi ya Gaborone United ikiwa pia ni sadaka kwa Mwenyezi Mungu ili tuweze kufanya vizuri.

Tazama video hii hadi mwisho Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally, mwakilishi kutoka Mo Dewji Foundation na kiongozi wa Mama Huruma wamefunguka mambo mengi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story