Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tumetoa msaada katika Kituo cha Watoto Yatima cha Assalam

18 Apr 2025

Huu ni utaratibu tuliyojiwekea pamoja na Mo Dewji Foundation kila tunapoelekea kwenye michezo ya Kimataifa huwa tunatoa misaada kwa wenye uhitaji ikiwa ni sehemu ya kurejesha kwa jamii hasa kwa watu wenye uhitaji.

Tazama video hii hadi mwisho tumekuwekea tukio zima la utoaji wa msaada huo kutoka kwenye Kituo cha Assalam kilichopo Fuoni Zanzibar.

Advertisement
Back to homepage
Share this story