Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tumetoa maada kwa Kituo cha watoto yatima New Faraja Mburahati

24 Oct 2025

Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema huu ni utaratibu wa klabu kwa kushirikiana na Mo Dewji Foundation kusaidia wenye uhitaji ikiwa ni kumuomba Mungu kutujalia hasa tunapoelekea kwenye mechi za Kimataifa kama ya Jumapili dhidi ya Nsingizini Hotspurs.

Tazama video hii hadi mwisho kuona zoezi zima la utoaji wa msaada huo ulivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story