Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tumetimiza malengo yetu CRDB Federation Cup

11 Mar 2025

Ahmed amesema tumefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora na malengo yetu ni kuvuka hadi fainali hatimaye kutwaa ubingwa na hilo ndilo jambo ambalo tunalifanya.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mechi yetu inayofuata dhidi ya Dodoma Jiji.

Advertisement
Back to homepage
Share this story