Tunaelekea kwenye kilele cha Simba Day ambapo tukio la leo ni moja wapo ya matukio ya kijamii tuliyokuwa tumeyapanga kuyafanya katika wiki ya Simba.
Tazama video hii hadi mwisho Mwalimu wa Madrasa, Mwakilishi kutoka Mo Dewji Foundation na Ahmed Ally wote wamezungumzia jambo hili.