Ahmed amesema tulihitaji kushinda mechi hii ili kurejesha imani na heshima na tumefanikiwa kitu ambacho tunaamini tutakuwa na muendelezo mzuri.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia mchezo ujao wa CRDB Federation Cup dhidi ya Greenland.