Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tulistahili Ushindi mnono zaidi

2 Apr 2026

Ahmed amesema tulitengeneza nafasi nyingi za kufunga na kama wachezaji wetu wangeongeza umakini tungeweza kupata zaidi ya mabao manne.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amewamwagia sifa wachezaji kwa kazi nzuri huku akiliezea kwa kina bao lililofungwa na Seleman Mwalimu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story