Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tulikuwa na uwezo wa kushinda mabao mengi zaidi

6 Nov 2024

Kocha Fadlu amewamwangia sifa wachezaji kwa kufuata maelekezo aliyokuwa akiwapa na kupelekea kupatikana kwa ushindi huo mnono

Tazama mahojiano haya hadi mwisho hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia kiwango cha mlinzi wa kulia Shomari Kapombe ambaye amerejrshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars.

Advertisement
Back to homepage
Share this story