Kocha Fadlu amesema kipindi cha kwanza tulitawala sehemu kubwa ya mchezo na tulipoteza nafasi kadhaa lakini cha pili tulikuwa tunapokezana pamoja na Bravo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia kuhusu mechi inayofuata ya ugenini.