Try Again amesema tumesajili wachezaji bora ambao walikuwa wanafanya vizuri kwenye timu walizotoka huku wengine wakiwa (MVP) sababu malengo yetu ni kuhakikisha tunafika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na kuchukua mataji yote ya ndani.
Tazama hadi mwisho mahojiano haya maalum ili kufahamu mipango ya klabu katika msimu huu.