limeamua kufanya ufunguzi wa African Football League (AFL) ambayo ilikuwa ikijulikana kama Super League nchini Tanzania sababu Simba ni timu kubwa.
Try Again amesema tuna timu bora na mashabiki wengi ambao ni wastarabu wanaingia kwa wingi uwanjani bila kufanya fujo kitu ambacho kimeivutia CAF kuleta ufunguzi wa AFL jijini Dar es Salaam.
Advertisement
Tazama mahojiano haya ya sehemu ya pili ili kufahamu mipango ya timu kuelekea michuano hii ambayo Uzinduzi wake utafanyika Oktoba 20, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.