Simba Sports Club
News

VIDEO: Timu yawasili salama Ivory Coast

20 Feb 2024 By simbasc 318 views
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Abidjan nchini Ivory Coast kamili kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigwa Ijumaa katika Uwanja wa Felix - Houphouet - Boigny saa nne usiku. Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi ilivyokuwa tangu wakiwa angani hadi walivyowasili Abidjan.
Advertisement
Back to homepage
Share this story