Ahmed amesema wachezaji walioanza mazoezi ambayo yamefanyika Uwanja wa Mo Simba Arena ni wale ambao hawapo kwenye majukumu ya timu za Taifa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ametaja tarehe rasmi ya kuanza hamasa mji mzima pamoja na matumizi ya Uwanja wa KMC Complex.