Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesema baada ya kikosi kurejea jana jijini Dar es Salaam kutoka Mwanza wachezaji walipewa mapumziko na leo wameingia rasmi kambini.
News
VIDEO: Timu yaingia kambini Kujiandaa na Prisons
28 Dec 2022