Simba Sports Club
News

VIDEO: Timu yafanya mazoezi ya utimamu wa mwili

10 Feb 2024 By simbasc 1,282 views
Baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi ya utimamu wa mwili ili kuweka miili sawa. Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo tayari kuendelea na maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Geita Gold. Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa. https://youtu.be/BAqXPuYcwp8?si=zX62r4cR9juN1s4z
Advertisement
Back to homepage
Share this story