Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Timu yafanya mazoezi siku ya pili Durban

24 Apr 2025

Jana kikosi kilipofika jioni kilifanya mazoezi ya Gym na leo asubuhi lakini jioni kimeendelea na programu ya uwanjani.

Tazama video hii mpaka mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story