Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Timu yaendelea na mazoezi Mo Arena

17 Nov 2023

Wachezaji walioshiriki mazoezi hayo ni wale ambao hawapo kwenye majukumu ya timu za taifa yakisimamiwa na maocha Daniel Cadena na Seleman Matola.

Tazama video hii hadi mwisho ili uone jinsi ilivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story