Ahmed amesema baada ya mchezo uliopita dhidi ya TRA United wachezaji walipewa mapumziko ya siku chache kupisha mashindano ya FIFA Series kwa timu za Taifa inayofanyika nchini Rwanda.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia timu yetu ya Wanawake ya Simba Queens.