Simba Sports Club
News

VIDEO: Timu Kuondoka Leo Usiku kuifuata Wydad

24 Apr 2023

Ahmed amesema msafara utagawanyika makundi mawili, Kundi la kwanza litaondoka leo na litakuwa watu na 29 wachezaji na benchi la ufundi wakati la pili litaondoka kesho likiwa na watu 20.

Tazama hadi mwisho kuona utaratibu wa safari utakavyokuwa kuanzia kuondoka na vituo itakavyopitia hadi kufika Morocco.

Advertisement
Back to homepage
Share this story