Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Timu kuondoka Disemba 31 kuelekea Zanzibar

27 Dec 2023

Meneja Habari na Mawasiliano Ahmed Ally amesema tutaondoka na kikosi kamili kuelekea Zanzibar wachezaji watakao kosekana ni wale waliopo kwenye majukumu ya timu za Taifa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu mipango ya timu kuelekea nusu ya kukamilisha msimu wa 2023/24.

Advertisement
Back to homepage
Share this story