Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Timu kuelekea Zanzibar kwa ajili ya kambi

18 Mar 2024

Ahmed amesema kambi hiyo ya Zanzibar itahusisha wachezaji ambao hawakuitwa kwenye timu zao Taifa ambao ni wengi ili kumpa nafasi kocha kufanya maandalizi ya kutosha kutokana na ukubwa wa mechi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ataja sababu ya timu kwenda kuweka kambi Zanzibar.

Advertisement
Back to homepage
Share this story