Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tazama Zimbwe Jr na Kapombe walivyozungumzia ushindi dhidi ya Kagera

21 Dec 2024

Zimbwe Jr amesema haikuwa rahisi kupata ushindi huo huku akiweka wazi kuwa sio mara ya kwanza kutoa 'assist' kwa Shomari Kapombe.

Tazama mahojiano haya hadi Kapombe amefunguka sababu ya kushindwa kushangilia goli na Zimbwe Jr.

Advertisement
Back to homepage
Share this story