Simba Sports Club
News

VIDEO: Tazama wachezaji walivyokuwa kwenye bwawa la kuogelea

14 Jul 2023

Kuogelea kwenye maji ya moto kunawafanya wachezaji kurudi kwenye utimamu wa mwili hasa ukizingatia kadiri siku zinavyozidi mazoezi yanakuwa magumu.

Tazama Video hii hadi mwisho ili kujionea mwenyewe hali ilivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story