Simba Sports Club
News

VIDEO: Tazama Uwanja ambao tutautumia kwa mozoezi wiki zote tatu nchini Uturuki

13 Jul 2023 By simbasc 282 views
Kikosi chetu kimeanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2023/24 na katika kipindi chote cha wiki tatu kitafanya mazoezi katika Uwanja wa Soğuksu Sports Complex. Tazama hadi mwisho video hii kuona mandhari ya uwanja huu.   https://youtu.be/cmX-fuECbY8
Advertisement
Back to homepage
Share this story