Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amewakabidhi bendera za timu wenzetu wa CRDB ili kupendezesha mandhari njiani kuanzia Msimbazi Kariakoo hadi Viwanja vya Leaders.
Tazama hadi mwisho Video hii kuangalia kila kilichojiri wakati tunaanza shughuli yetu Msimbazi.