Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tazama tambo za Ahmed baada ya ushindi mnono dhidi ya Jwaneng Galaxy

2 Mar 2024

Ahmed amesema ni kawaida kwakwe kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwakuwa ni mara nne mfululizo hivyo sio kitu kipya kama wengine ambao hawajazoea.

Tazama Mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kiufundi kuhusu mchezo ulivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story