Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tazama 'Save matata' aliyofanya Ayoub Lakred

10 May 2024

Hii ni moja ya 'save' aliyofanya kwa kuokoa shuti kali lililopigwa na kiungo mshambuliaji Feisal Salum katika mchezo wa jana dhidi ya Azam FC.

Advertisement
Back to homepage
Share this story