Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally amesafiri nacho kwa Ndege kutoka jijini Dar es Salaam hadi Kilimanjaro na kuchukua gari hadi Mlimani ambapo kilianza kupandishwa kileleni kabla ya uzinduzi uliofanyika Ijumaa Julai 21.
Tazama hadi mwisho video hii kuona sehemu zote kilichopitia hadi kufika kileleni na hatimaye kurejea.