Simba Sports Club
News

VIDEO: Tazama Miquissone alivyotambulishwa kambini

25 Jul 2023

Huu ni utaratibu ambao tumeweka kila mchezaji anapofika kambini inabidi atambulishwe kwa benchi la ufundi pamoja na wenzake ili kudumisha undugu na ushirikiano.

Tazama hadi mwisho kuona jinsi ilivyokuwa wakati wa utambulisho huo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story