Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tazama mahojiano ya nyota wetu Okajepha na Nouma

26 Oct 2024

Nouma amesema ni furaha kwake kuona timu inapata ushindi huku akiwa uwanjani ambapo ameahidi kufanya vizuri katika kila mchezo ambao atapewa nafasi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Augustine Okajepha nae amezungumzia kiwango chake kwenye mchezo wa jana.

Advertisement
Back to homepage
Share this story