Simba Sports Club
News

Video: Tazama Kocha Pablo alivyoongoza mazoezi ya jioni

16 Nov 2021

Kocha Mkuu Pablo Franco ameendelea na kazi yake ya kukinoa kikosi chetu huku wakati mwingi akiutumia kuwasisitiza wachezaji kutoa pasi kwa haraka.

Pablo amekuwa akiwaelekeza wachezaji kufanya maamuzi ya haraka na kutokaa na mpira katika mazoezi hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Boko Veterans.

Advertisement
Back to homepage
Share this story