Simba Sports Club
News Videos

Video: Tazama kikosi kilivyowasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere

21 Oct 2023

Wachezaji, benchi la ufundi pamoja na viongozi wamefika uwanjani hapo tayari kuanza taratibu za safari ya kuelekea Misri.

Tazama video hii mpaka mwisho kuona jinsi kikosi kilivyokuwa baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege.

Advertisement
Back to homepage
Share this story