Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tazama Kijili alivyopokelewa Kambini

12 Jul 2024

Kijili ametambulishwa leo na tayari yupo nchini Misri kuendelea na maandalizi ya msimu.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mlinzi huyo wa kulia alivyopokelewa na baadae kufanya mazoezi na wenzake.

Advertisement
Back to homepage
Share this story