Kaimu Mtendaji Mkuu wa Klabu Zubeda Hassan ndiye aliyeongoza timu akiwa pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, CPA Issa Masoud na Suleiman Haroub.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi Wabunge walivyopiga makofi wakati wa utambulisho wa timu pamoja na Viongozi.