Tayari Kitengo cha Habari na Mawasiliano chini ya Ahmed Ally wamepokea mafaili ya wachezaji ambao tumefanikiwa kuwasajili kwa ajili ya kuwatambulisha kwa Wanasimba siku chache zijazo.
Weka bundle, chaji simu, tulia sebuleni kwako kula popcorn subiria habari njema za furaha