Simba Sports Club
News

VIDEO: Tazama jinsi Kitengo chetu cha Habari kilivyotayari kwa Usajili wa 2023/24

4 Jul 2023 By simbasc 421 views
Dirisha la Usajili limefunguliwa Jumamosi iliyopita nasi tunaendelea kufanya maboresho kikosi chetu ambacho tunategemea kukitumia katika msimu wa Ligi 2023/24. Tayari Kitengo cha Habari na Mawasiliano chini ya Ahmed Ally wamepokea mafaili ya wachezaji ambao tumefanikiwa kuwasajili kwa ajili ya kuwatambulisha kwa Wanasimba siku chache zijazo. Weka bundle, chaji simu, tulia sebuleni kwako kula popcorn subiria habari njema za furaha   https://youtu.be/0EqMfXa3pI8
Advertisement
Back to homepage
Share this story