Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Tazama jinsi Kibu alivyowaaga wenzake baada ya mazoezi

10 Feb 2026

Baada ya kumalizika mazoezi hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa KMC Complex, Kibu alipata nafasi ya kuwaaga wachezaji huku akitukia kheri kuelekea mwishoni mwa msimu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kibu ameweka wazi kuwa atafurahi kuiona Simba ikishinda mchezo wa kesho dhidi ya KMC.

Advertisement
Back to homepage
Share this story