Ahmed amesema Simba Day ndio Tamasha kubwa la Mpira wa Miguu barani Afrika na msimu huu litakuwa na maboresho makubwa hivyo kila mmoja anapaswa kuweka historia na kuwepo uwanjani.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu hali ya kikosi.