Simba Sports Club
News

VIDEO: Tazama Che Malone, Onana walivyotambulishwa kambini

18 Jul 2023

Wachezaji hawa wamefika kambini jana usiku wakiwa na Jean Baleke pamoja na Mtaalamu wa Tiba ya Viungo, Wycliff Omom.

Tazama hadi mwisho video hii kuona walivyopokelewa na wachezaji wenzao.

Advertisement
Back to homepage
Share this story