Simba Sports Club
News

VIDEO: Tazama CEO Kajula alivyomtambulisha Balozi Concar kwa wachezaji Bunju

31 Oct 2023

Mtendaji Mkuu, Imani Kajula ndiye aliyemtambulisha Balozi Concar kwa benchi la ufundi pamoja na wachezaji ambao wamefurahia kuja kwake.

Tazama Video hii hadi mwisho kuona jinsi ilivyokuwa, hata Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah 'Try Again' nae alikuwepo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story