Ahmed amesema Mungu anapenda watu kuwasaidia wenye uhitaji na ukifanya hivyo huwa anakufungulia milango ya mafanikio na imani yetu ni kwamba Jumapili tutapata furaha.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amewaita wakazi wa Mbagala na Wanasimba kwa ujumla kununua tiketi kwa wingi ili kuujaza Uwanja Jumapili.