Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Sowah aahidi mabao mengi zaidi Msimbazi

4 Dec 2025

Sowah ambaye leo amefunga bao lake la tatu katika mechi tatu za Ligi alizocheza amesema anamuomba Mungu kumuwezesha ili kufikia malengo aliyojiwekea ya kufunga mabao mengi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Sowah amezungumzia pia mchezo wa Jumapili dhidi ya Azam FC.

Advertisement
Back to homepage
Share this story