Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Siku ya kwanza mazoezini kwa Neo Maema

22 Aug 2025

Maema amechelewa kujiunga na wenzake kutokana nakuwa na timu ya Taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' iliyokuwa ikishiriki michuano ya CHAN inayoendelea katika nchi za Tanzania Kenya na Uganda.

Tazama video hii hadi mwisho kuona alichokifanya Maema mazoezi leo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story