Shikangwa amesema kurejea kwa Mnuka kutazalisha idadi kubwa ya mabao ndani ya kikosi chetu na itakuwa chachu ya kutetea ubingwa wetu wa Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Shikangwa amezungumzia pia mbio za ufungaji bora.